Kiwanja kinauzwa Mtoni, Dar Es Salaam


JUMBA LA GHOROFA KUBWA SANA LA KISASA (UNFINISHED) INAUZWA NA BANK
Location: Mtoni kijichi ( Near Kituo cha afya kijichi)
Umiliki: Title deed ( hati ya wizara ya ardhi).
Sifa:
Ground floor: kuna room saba (6) room moja ni Master, sitting room, dinning, kitchen room, na kuna public toilet.
First floor: kuna vyumba sita (6), vyumba vitano (5) ni master, store , study room .
Ukubwa wa eneo: sqm 1500
Price: 330mil
Huduma zote za kijamii zipo,, mangingira ni mazuri sana ushuani...
Service charge elf 30
Tupigie +255621664146