Kiwanja kinauzwa Ubungo, Dar Es Salaam


📍NYUMBA YA BIASHARA INAUZWA IPO UBUNGO INATAZAMANA NA STAND YA DALADALA MAWASILIANO
📍NYUMBA INAWAPANGAJI TAYARI KUNA MASHINE ZA ATM NA OFISI
📍Bei 600 MIL MAONGEZI YAPO
📍NYUMBA INA HATI ORIGINAL MKONONI NA MMILIKI YUPO HAI
📍NA HUU NDIO MTILILIKO WA JENGO NA KIPATO CHAKE KWA MWAKA
📍Kwa Mashine mbili za ATM ni Tsh. 25,200,000 kwa mwaka. Ofisi za Juu kwa ni Tsh. 21,600,000 wapangaji wa Chini wapo 7 wanalipa jumla Tsh. 8,400,000. Ukijumlisha wapangaji wote napokea jumla ya *Tshs. 55,200,000* kwa mwaka
KUPELEKWA SITE KUKAGUA TSH 50.000/
KARIBU SANA MTEJA UTOE OFA YAKO
CALL_0656610033