Kiwanja kinauzwa Visiga, Pwani


KIWANJA ,RAMANI MKONONI.
Wateja wetu Wanakuja Kununua kiwanja wakiwa na Ramani mkononi ,wanalipa,baada ya hapo Wanajenga.
Visiga hakuna Bei ni Bwerere.
Tshs. 8,000 kwa sqm kwa Malipo ya CASH.
Tshs. 10,000 kwa malipo ya AWAMU.
Mfano: sqm 400*8000= 3,200,000 ni CASH.
sqm 400*10000 = 4,000,000 kwa Awamu.
Wasiliana nasi (24hrs): 0695 73 57 57.