Viwanja vinauzwa Goba, Dar Es Salaam


GOBA KULANGWA! GOBA KULANGWA! GOBA KULANGWA!
Jipatie kiwanja Bora cha makazi GOBA KULANGWA
Viwanja vipo mtaa wa KANJIBAI barabara ya njia nne madale, Mita400 tu kutoka barabara ya lami
Ukubwa wa viwanja kuanzia SQM600โ800
BEI YA SQM1 ni 90,000/= kwa malipo ya CASH na 95,000 malipo ya awamu(Installment)
Miundombinu yote ipo(barabara, umeme na maji)
Kutembele mradi ni siku yoyote na ni BUREE! karibu TUKUHUDUMIE
.
๐ Wasiliana nasi kwa namba 0753311817
๐ฒ WhatsApp namba 0621364769
#GreenLandRealEstate
#thefutureisheretk