Viwanja vinauzwa Goba, Dar Es Salaam


*Viwanja vinauzwa*
Location Goba nja4 kama una elekea madale
Ukubwa Sq.m tofauti tofauti kuna
Sq. M 412 bei 29ml
Sq.m500 Bei 40ml
Sq.m655 bei 53ml
Sq.m 743 bei 60ml
Umbali kutoka lami mita800
Maongezi yapo
vipo vichache vipo 13 tuu kwahiyo wai chap