Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani


Karibu kwenye Mradiwetu uliopo Kibaha Visiga. Mradi umepimwa na Umezungukwa na Huduma zote za kijamii.
Mradi upo umbali wa Kilomita tatu (3) tu kutoka Barabara kuu ya Dar - Morogoro.
Viwanja vimepimwa kwa urefu wa 20m X 25m ( 500 sqm).
Gharama zake ni shilingi za kitanzania Milion Kumi tu ( 10, 000,000/=. Kwa square Mita 500.
Kwa mawasiliano tupigie +255 747 081 270