Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani


Hapa ni Kibaha Misugusugu! Tunakusaidia upate Kiwanja kilichopimwa Kwa shilingi 8500/= Tu. Hii ni Bei Kwa mita Moja za Mraba.
Viwanja hapa Misugusugu ni Kuanzia 400m² Hadi 1160m². Tunapokea malipo kidogo kidogo ndani ya Mwaka Mmoja. Kianzio ni shilingi 1,000,000/=
Viwanja hivi vipo katika eneo ambalo mwekezaji wa Real Estate upande wa majengo anaweza kujenga apartment Kwa ajili ya wafanyakazi wa Viwandani! Hapa huduma zote muhimu zipo kama vile maji,umeme na hata majirani.
Kutoka hapa Site Hadi ilipo barabara ya Lami ni mita 900 Tu! Ni umbali wa kutembea Kwa miguu Tu! Yani usikubali kukosa Kiwanja kilicho karibu na barabara ya Lami .... Ni hapa Kibaha Misugusugu! Furahia maisha ya uwekezaji kwenye Ardhi na Remmys Brand! Tunakupa kilicho Bora zaidi.
Viwanja vimeshakuwa approved. Yani Kwa wateja wanaolipa Cash mchakato wa Hati unaanza haraka baada ya malipo kupokelewa.
Tunapatikana Kibaha Madafu,Kiluvya Madukani na Mbezi Kwa Msuguri
Mawasiliano
0659 972 868
0763 172 814
0758 764 040