Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani


Viwanja Vinauzwa Kibaha Kongowe, Kiluvya DSM.
Usiogope kumiliki kiwanja chako na ushushe mjengo wala siyo gharama.
Kibaha Kongowe Tsh milion 2 na laki 5, unaweza kulipa kwa awamu.
Kiluvya kuanzia milion 2 na laki 5
Umeme, maji, barabara za mtaa vipo.
0718143834, 0684562349