Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani


VIWANJA! VIWANJA!
Ndugu zanguni nawaleteeni viwanja vizuri!
Eneo: Kibaha kwa mfipa, km moja kutoka Barabara kuu ya Morogoro.
Ukubwa: 400 Squire Meters (20m kwa 20m).
Vipo viwanja viwili pekee, unaweza kuunganisha vyote viwili.
Huduma: Maji na Umeme mpaka Site, Barabara unafika mpaka Site bila shida.
Bei: 6.5M, maongezi kidogo yapo, unaongea na mmiliki.
Umiliki: Nyaraka Serikali za Mitaa.
Mawasiliano: 0762 180 122.
(Call/WhatsApp/SMS)