Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani


Industrial Plots Available for Sale! Viwanja safi kabisa na vipo umbali wa km 3 Toka kwenye LAMI.
Viwanja hivi vipo Kibaha Misugusugu maeneo ya Zegereni! Vimeshakuwa approved Kwa matumizi ya viwanda!
Ukubwa viwanja ni kuanzia 12,600m² yaani heka tatu kuendelea hadi 36,600m²
Karibu sana site! Karibu uwekeze katika Maeneo salama Kwa matumizi sahihi!
Bei Kwa square meter ni shilingi 15,000/= Kwa malipo ya kidogo kidogo,na shilingi 12,500/= kw malipo ya Cash.
Utaratibu wa Malipo
Kianzio 50%
Kiasi kilichobaki utalipia taratibu ndani ya Miezi Minne
Contact Person
0659 972 868
0763 172 814