Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani


Viwanja Vinauzwa Kibaha Picha ya Ndege! Mtaa wa SOFU. KM4 Toka Lami! Viwanja vimepimwa na tayari vimeshakuwa Approved... Barabara ya kufika Hadi hapa site tayari ipo kwenye ujenzi Kwa kiwango cha Lami.... Unasubiri nini Sasa? Njoo ujioneee mwenyewe.
Malipo ni kidogo kidogo ndani ya Mwaka Mmoja! Bei kwa square meter ni shilingi 15,000/= sawa na shilingi 6,000,000/= Kwa Kiwanja chenye 400m²
Kianzio: 1,000,000/=
Kiasi Kilichobaki Kinalipwa ndani ya Miezi 11
Maji na umeme vipo site! Viwanja Barabarani,ukifika umefika sio kuingia kulia Wala Kushoto! Palepale site Kuna Hardware Kubwa Sana,unaweza kujipatia vifaa vyovyote vya Ujenzi Kwa Bei nafuu! Wote mnakaribishwa.
Udongo wa SOFU ni kichanga + udongo Mwekundu Yani udongo safi saNa! Hautelezi hata kama mvua inanyesha! Pia wakati wa ujenzi huna haja ya kutanguliza mchanga mwingi kwenye msingi!
Ukiwa SOFU unapata Matofali Kwa bei nzuri Sana,Yani Bei nafuu Sana! Wahi fursa ya kujenga Kibaha SOFU ufurahie OFA hii nzuri na kubwa kutoka Kwetu! SOFU Kuna washua kibao,ushindwe wewe kufika site boss! Karibu Sana SOFU.
This time ni Kibaha,Picha ya Ndege Mtaaa wa SOFU.
Mawasiliano
0659 972 868