Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani


Kibaha kunogile☑️🔥. Unasubiri Nini kumiliki kiwanja katika mradi wa kibaha?
Mradi huu ni gharama yake ni nafuu kabisa yaani utalipia shilingi 15,000/- tu kwa SQM
Mradi huu umezungukwa na huduma zote za kijamii ikiwemo hosptali kubwa ya lulanzi, barabara iliyochongwa, shule pamoja na huduma ya maji.
Mradi huu pia upo kilomita 2 tu kutoka barabarani.
Kuwa miongoni mwa watu watatembelea mradi huu na kujipatia viwanja.
Siku zote makazi bora huanza na ardhi bora yenye vigezo sahihi na hii utaipata kwetu Prosperity Real Estate Co. Ltd.
Tembelea ofisi zetu zilizopo;
Tegeta Kibaoni (Nyuki House Floor 3)
Mlimani city (Office Park Block 4, Floor 1)
Kwa mawasiliano tupigie;
0679620634
0769321126
#viwanja
#plot
#plot
#plotforsale
#viwanjadar
#viwanjavilivyopimwa
#viwanjakigamboni
#viwanjakibaha
#viwanja