Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani


Nunua kiwanja maeneo ya KIBAHA..
Tunavyo viwanja maeneo ya Kibaha nyuma ya NIDA, Msangani na Karibu na Stend ya Kibaha.
Gharama zetu ni kuanzia 2,000,000/= ukubwa ni 20 kwa 20. Viwanja ni Tambalale na vimepimwa, ukinunua kiwanja kwetu na hati unapata.
Ofsi yetu kwa Sasa ipo STEND YA LOLIONDO KIBAHA.