Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
📍KIBAHA PANGANI
📍3KM KUTOKA MOROGORO ROAD
📍1.5KM KUTOKA LAMI YA KUELEKEA MAPINGA
📍Cash : 15,000 kwa SQM
📍Installment: 16,000 kwa SQM, unaanza na 50% halafu 50% unalipa ndani ya miezi 6, SIO LAZIMA ULIPE KILA NWEZI
📌HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO
✅VIWANJA VIMEPIMWA NA KUTHIBITISHWA NA MAMLAKA
☎️0659540265 nikutumie ramani
🚖SITE VISIT NI KILA SIKU
📍Ofisi zetu zipo jengo la IPS, Posta, gorofa ya tano