Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani


Sasa unaweza kumiliki Kiwanja Kwa malipo ya kidogo kidogo ndani ya mwaka mmoja! Bila Riba Wala Dhamana.
Site zetu zipo
Kibaha Picha ya Ndege 6,000,000/=
Kiluvya Mwanakondoo 4,000,000/=
Kiluvya Kwa Masister 4,600,000/=
Kibaha Boko Timiza 3,600,000/=
Kibaha Misugusugu 3,400,000/=
Hizo bei ni kwa Viwanja vya ukubwa wa mita 20 x 20(400m²)
Site zote zimepimwa na tayari kuwa approved.
Kianzio: 1,000,000/=
Mawasiliano
0659 972 868
0763 172 814