Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani


Viwanja Vilivyopimwa na kupata usajili Vinauzwa Kibaha Picha ya Ndege mtaa wa SOFU Kwa Kimambo
Viwanja hivi vipo umbali wa km4.8 Toka mwisho wa Lami! Kutoka Magereza Hadi site ni kama km5 hivi.... Tunauza Kwa bei ya shilingi 15,000/m² sawa na shilingi 6,000,000/= Kwa uwanja wenye 400m²
Kianzio: 1,000,000/=
Kilichobaki ni kidogo kidogo ndani ya Mwaka mmoja.
Ndio malipo ni kidogo kidogo bila Riba Wala Dhamana. Njoo Sasa tukamilishe Kiwanja safi kutoka Kwa wakali wa hizi Kazi! Sisi ndio Suluhisho la wote waliopitia magumu wakati wa kununua ardhi,kama unataka usalama wa pesa zako njoo tukusaidie umiliki Kiwanja safi,kama unataka thamani Halisi ya Pesa yako,njoo tukupe Kiwanja safi kisichokuwa na konakona au ujanja ujanja! Ujazo wa viwanja vyetu ni kuanzia 450m²,500m²,600m²,700m²,800m² Hadi 1790m²
Njoo ukague Mali,ukiridhika ndio unalipa! Karibu tukusaidie utimize malengo yako!
Ofisini kwetu: Kiluvya Madukani,Mbezi Kwa Msuguri Visiga Madafu.
Mawasiliano
0659 972 868
0763 172 814