Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Mradi Mpya Mradi Mpya tunaoo!
Viwanja vipo Kigamboni Mwembe Mdogo, Nyuma ya Chuo cha Afya Kigamboni.
Viwanja vipo katika mazingira mazuri vimezungukwa na huduma zote za kijamii mfano:-Barabara, Umeme, maji, Shule na hospitali.
Viwanja vimepimwa na vinatambulika na wizara ya Ardhi, nyumba na maendeleo pia ipo ramani inayotambulisha mipaka ya kiwanja husika #slide๐
Viwanja vinakubwa wa kuanzia Sqm 400+ hadi Sqm 600+
Bei ya Sqm 1 ni elfu 20000/=
Kwa mawasiliano
0712390895 Au 0621314675
Pia unawezafika ofisini kwetu Kigamboni, kijaruba (Opposite na shule ya msingi Maweni)