Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,300,000
Project
Yes

BEI YA KIWANJA NI MILION NA LAKI TATU TU. (1,300,000/=) Unamiliki Kiwanja KIGAMBONI KIMBIJI KWA MORISI. Simu ziite📞0711677199/0744847199

Kwanini ununue kiwanja kwenye mradi wetu wa KIGAMBONI KIMBIJI KWA MORISI !! ✨ Hapa kuna sababu za kufanya hivyo:

1️⃣ Mradi upo Katikati ya mji kabisa, Majirani wapo wa kutosha na wamejenga nyumba za maana.

2️⃣ Mradi uko karibu na barabara kuu itokayo Mji Mwema Kwend Buyuni, ni mita 500, hivyo kunakupa urahisi wa kufika kwako bila usumbufu na gharama kubwa.

3️⃣ Miundombinu bora: Mradi una huduma zote muhimu kama maji na umeme. Ukiachana na makazi bora, pia huduma muhimu za kijamii kama shule na hospitali zipo.

4️⃣ Mandhari ya kipekee na ya kifahari: Upepo Mwanana Toka baharini maana ni Km 1.5 Kwenda Ufukweni.

5️⃣ Viwanja vimepimwa kwa Ukubwa wa Futi 50 X 40. Unaweza kuunga Viwanja kuanzia viwili, vinne, sita na kuendelea inategemea na bajeti Yako.

6️⃣ Umbali kutoka Ferry mpaka KIMBIJI kwa Moris ni Km 35. Unapanda gari Moja toka Ferry zinazokwenda Buyuni unashukia KIMBIJI kwa Moris. Wakati wewe unajivuta vuta kuja kuchukua kiwanja chako, utakuta watu washachukua maeneo yao. Fanya maamuzi sahihi na umiliki kiwanja cha ndoto zako! Nipigie 0711677199/0744847199.

Khadja Pesambili | @pesambili properties limited
khadja_viwanja
Khadja Pesambili | @pesambili properties limited

Similar items by location

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 500,000

MRADI MPYA KIGAMBONI KIMBIJI PUNA🔥🔥✅UMBALI 30KM TOKA FERRY ✅VIWANJA VIMEPIMWA/SURVEY APPROVAL ✅UK...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

🔥 NYUMBA YA UWEKEZAJI INAUZWA – KIGAMBONI, GEZA ULOLE🏡 Vyumba 3 (1 Master)🛋 Sebule kubwa + Dinnin...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 175,000,000

🌍 NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI, GEZA BEACH ⛱️ ---🏡 Nyumba nzuri ya kisasa yenye mazingira tulivu➡️ Vyu...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 70,000,000

KIWANJA_KINAUZWA---📍 Location: Kigamboni – Geza Ulole ---Miundombinu:✅ Barabara ya gari (upana 12m)...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 75,000,000

🏡 NYUMBA YA KISASA INAUZWA📍 Kigamboni – Cheka✨ Sifa za nyumba:➡️ Vyumba 4 vya kulala (kimoja Maste...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location darajani <> nyumba ina chumba kimoja master sebule na jik...

Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

HOUSE FOR RENT CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKOBEI NI 250k 😂 DARAJANI KIGAMBONI SERVICE CHARGE 20k ZING...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 27,000,000

PLOT FOR SALE KIGAMBONI KISALAWE II __PLOT TAMBALALE IMENYOOKA SANA MAZINGILA NIMAZUR SANA MIUNDOMBI...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 38,000,000

PLOT FOR SALE KIGAMBONI KISALAWE II __MIUNDOMBINU NIMIZULI NIPAZURI SANA __SQM 1300__BEI. ML 38__SE...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 40,000,000

PLOT FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA KIBUGUMO ___KALIBU KABISA NA SHULE YA HBS__SQM 400. INA MSINGI WA ...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 70,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA KIBUGUMO __VYUMBA V3 VYAKULALA VIWILI MASTER _&SEBULE DINING JIKO ...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 4,000,000

OFA OFA OFA OFA OFA……KWA THS 4M CASH unapata kiwanja Chenye ukubwa wa SQm 500+ pamoja na HATI MILIK...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 4,000,000

OFA OFA OFA OFA OFA……KWA THS 4M CASH unapata kiwanja Chenye ukubwa wa SQm 500+ pamoja na HATI MILIK...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 75,000,000

🏡 NYUMBA YA KISASA INAUZWA📍 Kigamboni – Cheka✨ Sifa za nyumba:➡️ Vyumba 4 vya kulala (kimoja Maste...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Kisiwani 🏡✨ Vyumba 2 (1 Master – Self Contained)✨ Sebule kubwa ✨...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 130,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location darajani (lami)<> nyumba Ina chumba kimoja master na jiko...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

Nyumba inapangishwa sifa zake ni Vyumba 3 vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule jiko n k...

Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 546,000,000

PRIME RESIDENTIAL PLOTS FOR SALE IN KIGAMBONI📍LOCATION : GEZA ULOLE (wilayani) KIGAMBONI(14km kutok...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 380,000,000

FOR SALE INAUZWA KIGAMBONI LOCATION; MIKWAMBE KIGAMBONI KIGAMBONI VYUMBA SABAPlot size ; sqm 1500As...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 70,000,000

KIWANJA_KINAUZWA---📍 Location: Kigamboni – Geza Ulole ---Miundombinu:✅ Barabara ya gari (upana 12m)...