Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


๐ Viwanja Vinauzwa kigamboni geza block D
๐Umbal wa kilometer 12 kutoka fer yaan kivukoni
๐Napia umbal wa kilometer 11 kutoka Daraja Ra nyelele
SIFA ZA VIWANJA
Viwanja VInaumbali wa klmita 1 kutoka men rod kubwa ya rami
Pia Viwanja Vinahati ya wizara
๐viwanja vipo viwili sehem moja navyote vimeambatana .
๐kiwanja kinaukubwa wa sqm 800
๐Majiran wako vizur
๐Huduma za kijamii zipo Kama maji, umeme na NK..
๐Bei mill 35
โ๏ธ0789020004
NB : Gharama za kupelekwa saint ni erf 20,000