Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Mradi upo Kigamboni Cheka, mtaa wa Aya Sophia au kwa Mzungu.
Ukitokea ferry unapanda magari ya Cheka, Kituo ni Cheka mwisho (mwisho wa gari). Mradi upo upande wa kushoto wa barabara.
Usafiri wa pikipiki hadi kwenye mradi ni sh. 1500/= tu. Huduma zote za kijamii zipo.
BEI
Kwa cash sqm 1 ni sh. 15,000/= (mwisho miezi 3)
Kwa plot (cash = Million 10.8)
Kwa mkopo sqm 1 ni sh 20,000/=
Kwa plot (mkopo = Million 14.4)
(Malipo ndani ya miezi 12)
Malipo ya awali ni 20%.
Rejesho la mwezi sh. 960,000/=
Contacts:
0747 081 270 au 0678 381 270
Office:
Makumbusho, derm house, floor no 7 - EPL
(Jengo la Access Bank)
Instagram/Facebook/Twitter/Tiktok: epl_property