Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


KIGAMBONI KIMBIJI (Potea), vimebaki viwanja 6 tu
๐Viwanja kama vinavyoonekana, vipo juu na ni tambarare
๐Sqm zilizobaki ni 704 kwa kila kiwanja, unaweza kuunganisha, hati zitatoka sawa na idadi ya viwanja utakavyounganisha
Utaratibu wa malipo
๐Cash : 4,928,000
๐Installment ya miezi 6
๐kianzio - milioni moja
๐Lipia kiasi kinachobaki ndani ya miezi 6, sio lazima ulipe kila mwezi
๐Installment ya miezi 12
๐Kianzio -410,000
๐Malipo ya kila mwezi - 410,000
Site visit ni kila jumamosi
โ๏ธ 0659540265 / 0718354943
๐IPS BUILDING, 5th floor, Posta