Viwanja vinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


VIWANJA VINAUZWA VIPO KIMARA MWISHO UMBALI WA DK 15 KUTOKA MOROGORO ROAD.
Vipo viwanja vitatu sehemu moja ,huduma za jamii ikiwapo umeme na maji zipo jirani na Barabara inafikika vizuri wakati wote Mpaka kwenye Kiwanja.
Ukubwa wa kiwanja ni
Sqm 400
( yaani 20x20 )
BEI MILIONI 25
TUNAPOKEA MALIPO KWA AWAMU MOJA TU .
PIGA SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI