Viwanja vinauzwa Lugoba, Pwani


Yanini Kua kichaaa wakati mambo yamerahisishwa huku.
Viwanja kuanzia Tshs 1,800,000/= hizo ni 600sqm yaani 30 Kwa 20 unapata na sio lazima ulipe cash.
Unaweza kuanza kulipia Tshs 90,000/= Kwa mwezi na Unalipia hadi miezi 20.
Hivyo viwanja vinapimwa Hapo Lugoba karibu na ilipokua halmashauri ya chalinze
Unapata hati Miliki yako, kazi kwako kuendeleza kwako.
Kila Jumamosi tunaenda site karibu ukapaone nyumbani kwako sasa
Wewe Unataka kiwanja sehemu gani na cha Ukubwa gani?
Tupigie simu sasa +255683273159
Ujanja ni kumiliki ardhi