Viwanja vinauzwa Lugoba, Pwani


Site visit siku ya Jumamosi lugoba zamani halmashauri ya chalinze.
🍀Asanteni wapendwa kwa. Kutuamini na kua nasi.
🍀Kama ulimisi wiki hii Karibu Jumamosi ijayo tena safari inaanzia ofisini kwetu sinza kivulini kupitia barabara ya bagamoyo
🍀Viwanja vya lugoba bei yake ni Tshs 3000/= Kwa sqm 1 Vimebaki Kuanzia 600sqm
🍀Malipo ni cash na kidogo kidgo hadi miezi 20
🍀Huduma za umeme na maji viko karibu na mradi.
🍀mradi upo 800mita kutoka barabara ya kuelekea Arusha
Tupigie simu +255683273159
Ujanja ni kumiliki ardhi
#Wizarayaardhi #makazibora #chalinze #viwanjadar #kariakooo #mlimanicity #viral #trending #viral #makazibora #nanasi #daresalaam