Viwanja vinauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 240,000
Installment Allowed
Yes
Project
Yes

OFA YA VIWANJA KUTOKA KAMPUNI YA RAMAHA LAND. ANZA NA LAKI TATU KISHA ULIPE KIDOGO KIDOGO NDANI YA MIEZI MITANO
_____________________________________
0699088721)!0674582245whtasp
_____________________________________Kampuni ya RAMAHA LAND
Imekukuletea site mpya yenye viwanja 100 vyenye ukubwa wa fut 50 kwa 40 kwa sh 1,500,000/ tu.

Pia unaweza kuunganisha kuanzia viwili nakuendelea

Anza na laki tatu kisha kwa kila mwezi lipa 240,000 x 5 utakuwa umemaliza deni.

Ndugu yangu hii siyo ya kukosa mwanzo tulikua na ofa ya viwanja 250 kwa utaratibu kama huu kwa sasa ni viwanja 100 tu navyo vimepakana na sekondari ya Tambani kule kule kwenye site ya viwanja 250 vilivyoisha.

Umeme upo hapo hapo ni nguzo tatu tu na viwanja ni tambarale safi kabisa ukifika utajionea mwenyewe.

Viwanja vipo ,,,, MBAGALA MBANDE MIPEKO,,,,,, Jilani na uwanja wa mpira wa Azam uliopo Dar es salaam wilaya ya Temeke kata ya Chamazi. Umbali kutoka uwanja wa Azam mpaka kwenye viwanja ni kilomita nne tu. Ukitaka kufika mbande panda gari K /Koo,Temeke, Tandika, Posta na Buza nauli 700/=had Mbande magengeni shuka. Chukua bodaboda 🏍 1000 bajaji 🛺 700 hadi saiti ______________________________________
Huduma zote za kijamii zipo kwa mfano
Maji✓
Shule✓
Umeme✓
Zahanati✓
Barabara✓

Ofisi yetu ipo wazi kila siku kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni. Njoo ofisini twende site ukachagua kiwanja bora kwa makazi bora na salama.

Na unaweza ukaunganisha zaidi ya kimoja

Karibuni sana wateja KAMPUNI YA RAMAHA LAND uaminifu ni %%%100%%%

_____________________

Similar items by location

Viwanja vinauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 2,000,000

Viwanja Vizuri sana bei kuanzia million 2. Vipo mbagala kongowe mlamlen

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi nyumba ya vyumba vya 3vya Kulala nyumba Public toilet nyumba umem...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 70,000,000

Nyumba inauzwa Mbagala chamanz📌BEI MILION 70 INAPUNGUAVyumba vitatuJipsam umeme na majiWhatsap au p...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

NYUMBA MPYA VYUMBA 3, TSHS.68 MILIONI, MBAGALA SAKU/MZAMBARAUNI. Hii ni nyumba nzuri YAKUHAMIA. Ni m...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 70,000,000

Nyumba inauzwa Mbagala chamanz📌BEI MILION 70 INAPUNGUAVyumba vitatuJipsam umeme na majiWhatsap au p...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 70,000,000

Nyumba inauzwa Mbagala chamanz📌BEI MILION 70 INAPUNGUAVyumba vitatuJipsam umeme na majiWhatsap au p...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 70,000,000

Nyumba inauzwa Mbagala chamanz📌BEI MILION 70 INAPUNGUAVyumba vitatuJipsam umeme na majiWhatsap au p...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 70,000,000

Nyumba inauzwa Mbagala chamanz📌BEI MILION 70 INAPUNGUAVyumba vitatuJipsam umeme na majiWhatsap au p...

Viwanja vinauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 3,000,000

HAYA SASA MRADI WA VIWANJA VYA MAKAZI NA BIASHARA. MRADI NI MPYA VIWANJA VIPO MBAGALA KONGOWE MLAMLE...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 68,000,000

BOSS HBARI YAKONAUZA HII NYUMBA TSH MIL 68 TUIPO MBAGALA SAKU MZAMBALAUNI JIJI LA DAR ES SALAM WILAY...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 68,000,000

BOSS HBARI YAKONAUZA HII NYUMBA TSH MIL 68 TUIPO MBAGALA SAKU MZAMBALAUNI JIJI LA DAR ES SALAM WILAY...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

Apartment inapangishwa bei laki 2 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 3 nakuendelea. Nyumba IPO mbagala cha...

Kiwanja kinauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 120,000,000

INAUZWA MBAGALA MAJI MATITU YENYE SIFA HIZOVYUMBA V4 KULALA VYOTE MASTER,SEBLE,JIKO,DINNING NA CHOO ...

Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 40,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Saku mwisho nyumba ya vyumba4 vya Kulala master bedroom stingiroo...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 68,000,000

NYUMBA KALLI SANA INA UZWA TSH MIL 68 TUNYUMBA IPO MBAGALA CHAMAZI MTAA WA SAKU JIJI LA DAR ES SALA...

Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 40,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Saku mwisho nyumba ya vyumba4 vya Kulala master bedroom stingiroo...

Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 70,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Saku mwisho nyumba ya vyumba vya Kulala masters bedroom stingiroo...

Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 70,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Saku mwisho nyumba ya vyumba vya Kulala masters bedroom stingiroo...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 90,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi nyumba ya vyumba 3vya Kulala masters bedroom stingiroom daingiroo...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 90,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi nyumba ya vyumba 3vya Kulala masters bedroom stingiroom daingiroo...