Viwanja vinauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 9,600,000
Project
Yes

KAMPUNI YA RAMAHA LAND TUMEKULETEA SITE MPYA YENYE VIWANJA ZAIDI YA 300 KWA SH 1,600,000/
_____________________________________
0741194541 , 0699088721)!0674582245whtasp
____________________________

Viwanja vipo ,,,, MBAGALA MBANDE MIPEKO,,,,,, Jilani na uwanja wa mpira wa Azam uliopo Dar es salaam wilaya ya Temeke kata ya Chamazi. Umbali kutoka uwanja wa Azam mpaka kwenye viwanja ni kilomita nne tu. Ukitaka kufika mbande panda gari K /Koo,Temeke, Tandika, Posta na Buza nauli 700/=had Mbande magengeni shuka. Chukua bodaboda 🏍 1000 bajaji 🛺 700 hadi Mipeko zilipo site zetu.

UKUBWA WA VIWANJA
Fut 50 kwa 40 Tsh 1,600,000/ anza na laki nane

KWA MITA KUNA MITA
12×15= 1,600,000/
24×15= 3,200,000/
24×30= 6,400,000/
30×36= 9,600,000/
24×45= 9,600,000/

Anza na 50/% nusu ya bei kisha ulipe kidogo kidogo ndani ya miezi mitatu.

Site hii ina sifa zote
Ni tambarale
Maji yapo
Umeme upo
Imepakana na shule ya msingi ya Mipeko C
Ipo karibu na sekondari ya Tambani
Imepakana na eneo lililotengwa kwa ajili ya zahanati.


KUNA SITE ZINGENE ZAID YA KUMI UNAWEZA KUANZA NA LAKI TANO KISHA UKALIPA KIDOGO KIDOGO NDANI YA MIEZI MITANO HADI SITA
Kwa ukubwa wa fut 50 kwa 40 kuna
Site ya 1,200,000/
Site ya 1,300,000/
Site ya 1,500,000/
Site ya 1,600,000/
Site ya 1,800,000
Site ya 2,000,000/
Site ya 2,200,000/
Site ya 2,500,000/
Site ya 3,000,000/

ZOTE ZIPO MBAGALA MBANDE MIPEKO

Njoo utembelee leo. Ukifika ofisini kwetu gari za kukupeleka site ni bure kabisa. Una ngoja nini.

RAMAHA LAND ni baba lao

Kwa mawasiliano zaidi piga 0741194541 ,0699088721 au 0674582245

Similar items by location

Viwanja vinauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 1,200,000

OFA YA VIWANJA KUTOKA KAMPUNI YA RAMAHA LANDANZA NA LAKI TANO AU 50% KISHA ULIPE KIDOGO KIDOGO NDANI...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 69,000,000

BOSS WANGU NJOO NKUZIE NYUMBA NZURI SANA INA UZWA BEI NZURI SANA TSH MIL 69 TUNYUMBA IPO MBAGALA CHA...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 145,000,000

NYUMBA NZURI SANA INA UZWA TSH MIL 145INA VYUMBA VNNE VYA KULALA VYUMBA VIWILI NI MASTERS BEDROOM IN...

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 97,000,000

NYUMBA YA KIBIASHARA YA KUPANGISHA I N A U Z W A TSH 97 MILIONILOCATION MBAGALA CHAMAZI DAR ES SALA...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 80,000,000

NYUMBA KALLI SANA INA UZWA BEI YA KUTUPA SANA TSH MIL 80 TUNJOO NKUZIE MTEJA WANGU NYUMBA NZURI SANA...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 80,000,000

NYUMBA KALLI SANA INA UZWA BEI NZURI SANA TSH MIL 80 TuNYUMBA IPO MBAGALA CHAMAZI MKOA WA DAR ES SAL...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 85,000,000

NYUMBA I N A U Z W A TSH 85 MILIONILOCATION MBAGALA CHAMAZI DAR ES SALAAM TZVYUMBA 3VYA KULALA KIMOJ...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 85,000,000

NYUMBA I. N A U Z W A TSH 85 MILIONILOCATION MBAGALA CHAMANZI DAR ES SALAAM TZVYUMBA 3 VYA KULALA K...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 85,000,000

NYUMBA INAUZWA MBAGALA CHAMAZI MANISPAA YA TEMEKE DAR ES SALAAM BEI MILIONI 85,000,0000759128747 062...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 170,000,000

#NYUMBA INAUZWA LOCATION MBAGALA MAJI MATITUDAR ES SALAAM Tz 🇹🇿 BEI MILIONI 170 : MAONGEZI YAP0 N...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Nyumba inapangishwa bei laki 3 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 3 nakuendelea. Nyumba IPO mbagala mbande...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 27,000,000

Nyumba I N A U Z W A tsh 27 milioniLocation kitonga barabara ya Mbagala kwenda CHANIKA Dar es Salaam...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

NYUMBA INAUZWA MBAGALA CHAMAZI MANISPAA YA TEMEKE DAR ES SALAAM BEI MILIONI 65,000,000/= MILIONI0759...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 70,000,000

ENEO ZURI KWA BIASHARA LINAUZWA LIMEKAMATA BARABARA YA LAMI MBAGALA KIZUIANI Kuna Nyumba Ya Kupangis...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 60,000,000

NYUMA IPO MBAGALA CHAMAZI MKOA WA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE INA UZWA BEI YA KUTUPA SANA TSH MIL ...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 45,000,000

Nyumba I N A U Z W A tsh 45 milioniLocation mbagala saku stendi mwishoVyumba 3 vya kulala kimoja ma...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 55,000,000

NYUMBA MPYA INAUZWA IPO MBAGALA CHAMAZI MANISPAA YA TEMEKE DAR ES SALAAMBEI MILIONI 55,000,000/= MI...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 160,000,000

#NYUMBA INAUZWA LOCATION MBAGALA MAJI MATITUDAR ES SALAAM Tz 🇹🇿 BEI MILIONI 160 : MAONGEZI YAP0 ...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

APARTMENT INAPANGISHWA MBAGALA CHAMANZ KWA MZALA BEI 150,000CHUMBA MASTER SEBULE JIKO FULL FENC MAJI...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

APARTMENT INAPANGISHWA MBAGALA CHAMANZ KWA MZALABEI 150kCHUMBA MASTER SEBULE JIKO Full fenc maji yap...