Viwanja vinauzwa Mjini, Ruvuma
🏡KIWANJA KIZURI CHA MATUMIZI YA BIASHARA KINAUZWA MICHESE
🏡Ni kiwanja chapili barabara kubwa ya michese
Hiki na vingine vingi vinavyo someka hapo chini vipo sokoni
🏡🔆Wengi wanatamani sana kuishi kwenye Viwanja Vikubwa au kuwekeza kwenye kiwanja kikubwa ,
🟢Milimi kiwanja hiki Vilivyopo eneo la michese mkabala na eneo la maghorofa ITEGA
🟢Kiwanja no 297
Kina ukubwa wa Sqm 1300
Bei = 30ml
Matumizi MAKAZI AU BIASHARA
🟢KIWANJA NO 339 UKUBWA SQM 600 BEI = 18ML
Matumizi ni makazi
🟢kiwanja no 250 ukubwa ni 2596 bei ya kiwanja ni 64ml
Matumizi BIASHARA
🟢 kiwanja no 378 ukubwa Sqm 490 bei 14ml
Matumizi makazi
🟢Kiwanja eneo limepimwa na alimashauri ya jiji la Dodoma na
Kiwanja kina HATIMIKI YA MIAKA 99
🛣️Umbali wa kutoka mjini Kati adi kwenye kiwanja ni km 6 adi km 7
Ni karibu na Barabara kuu ya michese ITEGA
💵BEI YA KIWANJA NI=29m tuu
Unanafasi kubwa ya kumiliki kiwanja eneo hili la michese
kwa maelezo zaidi tupigie simu no
📲0745200984
☎️0747999997
🏡Au fika ofisi za luck real estate zilizopo Dodoma mjini mtaa wa Uhindini mkabala na wizara ya ujenzi na uchukuzi