Viwanja vinauzwa Mjini, Ruvuma
KIWANJA CHA UWEKEZAJI KINAUZWA ENEO LA MICHESE DODOMA
▶️SIFA ZA VIWANJA
▫️Viwanja vyote vimepimwa
▫️KIWANJA kina Hati
▫️Kinaukubwa wa sqm 2000
▫️Kuna Maji,umeme,
▫️Barabara inafika mpaka Site
▫️Kinafaa kwa uwekezaji
▫️Bei ni Milion 50
▫️Ni kilomita Sita (6) kutoka mjini
▫️Usafiri wa kwenda na kurudi Site ni Bure
Karibu Leo infinity_real_estate_dodoma kwa mahitaji ya Viwanja, Mashamba na Nyumba Jijini Dodoma
Kwa mawasiliano: 0767865054 au 0655591155
Ofisi zetu zipo barabara ya 9 jamal street nyuma ya makei house