Viwanja vinauzwa Mjini, Ruvuma


Wale wateja wangu mnaotaka mashamba mjini…hapa ndio penyewe…maji na umeme yapo tayari kwenye shamba hili…
Shamba limezungukwa na makazi ya watu kwahiyo ukitaka kujenga majirani wapo…
Bei ya Shamba ni Tsh 20,000,000 (milioni 20) na ni heka mbili kwa sqm jumla ni 10,100
Shamba lipo km 3.5 kutoka lami na mita 40 kutoka barabara kubwa, linafikika muda wote
Shamba linapatikana Mkuranga mjini, kituo kinaitwa Mti pesa..
Unakosaje sasa nipigie sasa tuongee
0710855997/0752855996
Whatsapp 0769355987