Viwanja vinauzwa Vikindu, Pwani


Ofa ofa ofa. Funga mwaka kwa kumiliki kiwanja kwa bei nafuu. Milion 1.2 unapata kiwanja kizuri sana kilichopimwa. Na utalipa kwa awamu. Viwanja vinapatikana Kisemvule, ni mbele kidogo ya Vikindu. Vimezungukwa na huduma muhimu jirani, kama Umeme, maji, Shule, zahanati, soko, nyumba za ibada n.k piga 0627952483.
Ukubwa wa kiwanja ni futi 50 X 40 milion 1.2
Ukubwa wa Futi 50 X 80 Milion 2.4 unaweza kuunganisha zaidi kulingana na uwezo wako. Usafiri wa kufika kisemvule unapatikana muda wote, kuna daladala za Kariakoo-Kisemvule, Temeke-kisemvule, Kivukoni-Kisemvule, Buza-kisemvule, Mbagala-Kisemvule. Kwa maelezo zaidi piga/whatsaap 0627952483.