Viwanja vinauzwa Vikindu, Pwani

 media -1
media -1
Sh. 950,000
Project
Yes

TATHMINI YAKO KTK MAISHA IWE INA MAONO YA MBALI JE? HAPO UNAPOISHI HIVI LEO HWENDA IKAWA SEHEMU YA HAYA YAFUATAYO.ILA BAADA YA KUTAMBUA HAYO YAFUATAYO UKIJIKUTA MOJA KATI YA HAYO ONGEZA JUHUDI NA MAOMBI KWA MOLA WAKO ALIE JUU.HWENDA UKAPATA MSAADA MKUBWA KTK MAISHA LIFANYIE KAZI HILI.

JE! HAPO UNAPOISHI NI KWAKO?
UKWENI? KWA KAKA? KWA WAZAZI?
UMEPANGA? UMEPEWA MSAADA KWA MUDA?
NYUMBA ZA SERKALI?
HII INAITWA BURE GHAALI IPO SIKU ITAKUGHALIMU

FANYA MAAMUZI SAHIHI NA NJOO KWETU KUANZIA
LAKI 950,000/= UNAPATA SEHEMU YA MAKAZI YA KWAKO NAWE UTAWAPOKEA KAMA ULIVOPOKELEWA MWANZO.

HII NDIO MISIMU YA KUJIPATIA OFA KIBAO YA VIWANJA BORA KIMAKAZI NA BIASHARA
MIRADI YETU IPO DARESALAAM NA PWANI

OFICE ZETU ZIPO KISEMVULE MJINI TUPIGIE TUNAKUPOKEA HADI OFSINI KWETU UNAPEWA MICHORO YA RAMANI TOFAUTI YA VIWANJA VYETU VYOTE BAADA YA HAPO TUNAKUONGOZA KUJIONEA SITE UIPENDAYO ILI UJIONEEE UHALISIA WAKE.

TUKIANZA NA MRADI HUU WA VIKINDU NA VITONGOJI VYAKE.
FIKA OFSINI KWETU KISEMVULE MJINI TUPIGIE TUNAKUPOKEA HADI OFSINI KWETU UNAPEWA MICHORO YA RAMANI TOFAUTI YA VIWANJA VYETU VYOTE.

BAADA YA HAPO TUNAKUONGOZA KUJIONEA SITE UIPENDAYO ILI UJIONEEE UHALISIA WAKE
OBEY V.I.P CITY PROJECT.KISEMVULE

SQM 1 ELFU 10 TU.
SQM ZINAANZIA SQM 360-400-440-500-560-601-700-768-800-890-MPKA SQM 2000 ZA PAMOJA UNAZIPATA.

ANZA NA NUSU MALIPO ALAFU UNAPEWA MIEZI 6 UNALIPA MALIPO KIDOGO KIDOGO MPAKA UNAHAMIA MILIKI KIWANJA KWA NJIA YA URAHISI HATI KUTOKA WIZARA YA ARDHI.

KISEMVULE OBEY V.I.P CITY PROJECT
SQM 200
BEI ML.1,500,000/=
HATI YA MAUDHIANO SERKALI YA KIJIJI.

VIANZI MJINI SITE ILIPO
BEI ML.2,000,000/=
SQM 200 FUTI 40/50 MITA 13/16
HATI YA MAUDHIANO SERKALI YA KIJIJI.

VIKINDU HADI VIANZI MJINI SITE
SQM 200
BEI ML.2,500,000/=
HATI YA MAUDHIANO SERIKALI YA KIJIJI.

VIKINDU HADI CHANG'OMBE
SQM 200
BEI LAKI 950,000/=
HATI YA MAUDHIANO SERKALI YA KIJIJI.

BEI ZOTE UTAKAZOZIONA NA MALIPO YAKAANZIA NA NUSU YA BEI MALIPO YANAYOBAKI NI KIDOGO KIDOGO MPAKA UNAHAMIA MILIKI KIWANJA KWA NJIA YA URAHISI.

VIWANJA DARESALAAM YOTE BEI RAHISI
NJOO VIKINDU NA KISEMVULE UTAINJOY SANA
UNAPATA ENEO KUBWA LA KUWEKEZA HATA MIFUGO NDANI YA FENC BUSTAN MITI YA MATUNDA.

WASILIANA NASI
0717003388
0743224186

Kei Mubaaraka
aisam_bestland_property.co.lmd
Kei Mubaaraka

Similar items by location

Viwanja vinauzwa Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 2,900,000

VIWANJA VIKINDU VIANZI MJINI...BEI TSH 2.9MMALIPO KWA AWAMU MBILI UTAANZA 1.5M..UKUBWA KUANZIA SQM 2...

Viwanja vinauzwa Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,500,000

VIWANJA VIKINDU CHANG'OMBE...BEI TSH 1.5M MALIPO KWA AWAMU MBILI UTAANZA 1 MILLION...UKUBWA KUANZIA ...

Viwanja vinauzwa Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,500,000

OFA YA VIWANJA BADO INAENDELEA ....Changamkia ofa viwanja VIKINDU CHANG'OMBE ndugu mtanzania kwa bei...

Nyumba inauzwa Vikindu, Pwani

Sh. 40,000,000

Nyumba inagusa ipo vikindu nyumba ya vyumba3 vya kulala masters bedroom stingiroom daingiroom kitche...

Nyumba inapangishwa Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,000,000

π™‘π™„π™’π˜Όπ™‰π™…π˜Ό π˜½π™€π™„ π™‹π™Šπ˜Ό π™ˆπ™‰π™Šπ™‘π™„π™’π˜Όπ™‰π™…π˜Ό π™‘π™„π™†π™„π™‰π˜Ώπ™ π™‘π™„π˜Όπ™‰π™•π™„ π™†π™’π˜Ό π™ˆπ™π™Šπ™‹π˜ΌπŠπ”οΏ½...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Vikindu, Pwani

Sh. 30,000,000

NYUMBA INAUZWA VIKINDU PENTAGON BEI MILLION 30INAVYUMBA VITATU KIMOJA MASTER INADINNG ROOM STING ROO...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Vikindu, Pwani

Sh. 30,000,000

NYUMBA INAUZWA VIKINDU PENTAGON BEI MILLION 30INAVYUMBA VITATU KIMOJA MASTER INADINNG ROOM STING ROO...

Viwanja vinauzwa Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 900,000

OFAπŸ”₯OFAπŸ”₯OFAπŸ”₯ HII NI SITE MPYA WADAU WETU SITE HII INAPATIKANA VIKINDU VIANZI(MALELA) SHULE YA MSI...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Vikindu, Pwani

Sh. 30,000,000

NYUMBA INAUZWA VIKINDU PENTAGON BEI MILLION 30INAVYUMBA VITATU KIMOJA MASTER INADINNG ROOM STING ROO...

Nyumba inapangishwa Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,000,000

π™‘π™„π™’π˜Όπ™‰π™…π˜Ό π˜½π™€π™„ π™‹π™Šπ˜Ό π™ˆπ™‰π™Šπ™‘π™„π™’π˜Όπ™‰π™…π˜Ό π™‘π™„π™†π™„π™‰π˜Ώπ™ π™‘π™„π˜Όπ™‰π™•π™„ π™†π™’π˜Ό π™ˆπ™π™Šπ™‹π˜ΌπŠπ”οΏ½...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 16,000,000

Mteja wangu wa vikindu aliniuliza swali kwa tsh milioni 15 anaweza kujenga nyumba ya ukubwa gani?Nyu...

Nyumba inapangishwa Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,000,000

π™‘π™„π™’π˜Όπ™‰π™…π˜Ό π˜½π™€π™„ π™‹π™Šπ˜Ό π™ˆπ™‰π™Šπ™‘π™„π™’π˜Όπ™‰π™…π˜Ό π™‘π™„π™†π™„π™‰π˜Ώπ™ π™‘π™„π˜Όπ™‰π™•π™„ π™†π™’π˜Ό π™ˆπ™π™Šπ™‹π˜ΌπŠπ”οΏ½...

Kiwanja kinauzwa Vikindu, Pwani

Sh. 30,000,000

KIWANJA CHA BIASHARA BOSS WANGU...LOCATIONI VIKINDU MADUKA MAWILI.1KM KUTOKA LAMI.UKUBWA SQM 400+BEI...

Nyumba inapangishwa Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,000,000

π™‘π™„π™’π˜Όπ™‰π™…π˜Ό π˜½π™€π™„ π™‹π™Šπ˜Ό π™ˆπ™‰π™Šπ™‘π™„π™’π˜Όπ™‰π™…π˜Ό π™‘π™„π™†π™„π™‰π˜Ώπ™ π™‘π™„π˜Όπ™‰π™•π™„ π™†π™’π˜Ό π™ˆπ™π™Šπ™‹π˜ΌπŠπ”οΏ½...

Viwanja vinauzwa Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 2,500,000

VIKINDU VIANZI CHANG'OMBE MJINI...MRADI UPO BARABARA KUBWA YA NDANI.BEI TSH 2.5MMALIPO KWA AWAMU MBI...

Viwanja vinauzwa Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 3,300,000

MRADI MPYA WA VIWANJA VIKINDU VIANZI MJINI...MAJI YAPO SITE UMEME UPO SITESHULE ZIPO KARIBUBAJAJI TS...

Kiwanja kinauzwa Vikindu, Pwani
  • By Installment

Sh. 293,000

Vikindu panazidi kujengeka yani sio pakukosa kabisaa πŸ”₯πŸ”₯Ukiwa na Tsh.293,000 tu unamiliki kiwanja.V...

Nyumba inapangishwa Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,000,000

π™‘π™„π™’π˜Όπ™‰π™…π˜Ό π˜½π™€π™„ π™‹π™Šπ˜Ό π™ˆπ™‰π™Šπ™‘π™„π™’π˜Όπ™‰π™…π˜Ό π™‘π™„π™†π™„π™‰π˜Ώπ™ π™‘π™„π˜Όπ™‰π™•π™„ π™†π™’π˜Ό π™ˆπ™π™Šπ™‹π˜ΌπŠπ”οΏ½...

Kiwanja kinauzwa Vikindu, Pwani

Sh. 250,000,000

INAUZWA LOCATION VIKINDU MKO WA PWANI4 ROOM 3 MASTER BEDROOM SITTING ROOM DAINNG ROOM KITCHEN STORE ...

Kiwanja kinauzwa Vikindu, Pwani

Sh. 250,000,000

INAUZWA LOCATION VIKINDU MKO WA PWANI4 ROOM 3 MASTER BEDROOM SITTING ROOM DAINNG ROOM KITCHEN STORE ...