Frame inapangishwa Mwenge, Dar Es Salaam
FREMU NZURI INAPANGISHWA
Loc: Mwenge
Price:700,000 per month
Term:six month
Note:(zingatia)
30,000 pesa ya service charge inatolewa mara moja bila kusahau pesa ya dalali mwezi mmoja
Classification:
Fremu nzuri kubwa ipo sehemu nzuri barabarani kabisa full tiles gypsum board mlango kioo Aluminum ya kuwahi inafaa kwa biashara mbalimbali saluni, ofisi pharmacy,n.k
Fanya kazi na Dalali smart, kazi zimenyoka
For more info:
Call:0688037829👈
Call:0718123756👈