Frame inauzwa Kivule, Dar Es Salaam


UMALIZIAJI MDOGO TU UMEBAKI NA BEI NI RAFIKI, WAHI.
Hii ni nyumba yenye Vyumba 3( Masta 1)
Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 680.
Ipo KIVULE FREMU KUMI (Minazini)
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Bei ni Tshs.36 Milioni.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
______________mskv
umba inauzwa Kivule fremu kumi (minazini) wilaya ya Ilala Dar
👉BEI MILION 36 MAONGEZ YAPO👈
Vyumba v3 kimoja masta
Dining siting jiko
Tailz jipsam maji umeme
Eneo kubwa sanaa ni zaid ya sqm 680
Nyaraka ya serikal ya mtaa
Whatsap au piga