Viwanja vinauzwa Bagamoyo, Mbeya
Mradi Mpya Bagamoyo-Kerege 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mita 800 toka Bagamoyo Road
Huduma za kijamii mpaka Site
(Maji,umeme)
Viwanja vimepimwa tayari vina becon zinazotambulika na wizara ya ardhi.
Wahi ujipatie kiwanja chako mapema.
Bei: 20,000/= kwa Cash
22,000/= kwa installment.
Mteja atapata Hati. Akimaliza malipo asilimia100 %.