Viwanja vinauzwa Iyumbu, Dodoma


Karibu katika mradi wetu wa Nyumba na Viwanja uliopo Iyumbu- Dodoma.
- Katika mradi huu tunajenga na kuuza Nyumba za kisasa kwa bei nafuu sana.
- Pia tunauza viwanja vilivyopimwa na vipo ndani ya mradi wetu wa Nyumba zisizopungua 300.
- Mradi wetu upo jirani na Shule ya Dr. Samia na km 5 kutoka chuo kikuu cha UDOM.
_________
- Bei za viwanja kwa malipo ya Instalment Sqm 1 @ 35,000
- Kwa malipo ya Cash Sqm 1 @ 33,000
Kwa Mawasiliano au maelezo 065 751 0444