Viwanja vinauzwa Iyumbu, Dodoma


Karibu katika miradi yetu mikubwa ya viwanja hapa jijini Dodoma.
IYUMBU
◽️ - Tunauza viwanja Malipo ya mkupuo Sqm 1 kwa sh 32,000
- kwa malipo ya Instalment Sqm 1 kwa sh 35,000
- Viwanja vyote vimepimwa na Hati inatoka kwa jina lako
- Mradi wetu upo jiranj na Shule ya Samia Secondary
- Huduma za kijamii zote zipo.
IHUMWA
◽️ Viwanja vinaanzia Sqm 600 bei kuanzia sh 4,500,000
-Viwanja vipo jirani na Barabara ya mzunguko ya Njia nne
- Viwanja vyote vimepimwa na vipo maeneo mazuri
- Mradi huu upo jirani na Bandari kavu
- Km 3.5 mpaka Hospitali ya B.Mkapa
- Km 8 mpaka katikati ya Jiji la Dodoma
Kwa maelezo/ Mawasiliano tupigie
☎️ 0657 510 444