Viwanja vinauzwa Iyumbu, Dodoma
KARIBU KATIKA MRADI WETU WA NYUMBA ZA KISASA ZAIDI YA 300 ULIOPO IYUMBU DODOMA.
- MRADI WETU UPO JIRANI NA SHULE YA MFANO
- KM 7 KUTOKA MJINI NA KM 5 KUTOKA UDOM MPAKA ENEO LA MRADI.
- TUNAUZA NYUMBA PAMOJA NA VIWANJA KATIKA ENEO HILI.
- BEI VIWANJA KWA SQM 1 NI SHILINGI 3000
- UNAWEZA KULIPA KIDOGOKIDOGO AU KWA PAMOJA KUMILIKI KIWANJA KIZURI ENEO LA IYUMBU
👉 KUFIKA KATIKA MRADI WETU NI BURE SIKU YOYOTE
____________________
Mawasiliano / Maelezo zaidi:
☎️ 0657 510 444