Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani


✨️Hii ni babkubwa kutoka Found Real Estate tunakuletea mradi wa kibaha picha ya ndege
📌Kiwanja kimebaki kimoja tu chenye ukubwa wa 611 sqm
📌 Kiwanja kina nyumba yenye vyumba viwili
📌Mradi upo km 3 kutoka morogoro road
📌Huduma za kijamii yaani maji ya DAWASCO, kisima na umeme vpo ndani ya mradi wetu
📌 Utajipatia hati miliki ambayo itakusaidia kwenye shughuli mbalimbali hasa mikopo
📌Kwa gharama ya Tsh 1,667,000 kila mwezi kwa miezi sita tu.
📌Kwa mawasiliano📲 0677 026 125
📌Au tembelea ofisini kwetu Mwenge, Bamaga.Dora Tower Fĺoor ya 4.
#bagamoyovillage#beachplots#viwanjavilivyopimwa#viwanjakibada#viwanjadar#viwanjavyauhakika#samiasuluhu#salimkikeke#hatimilikiyaardhi#hapakazitu#kaziiendelee#dubai#umkm#indonesia#china#realestate