Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani


Habari njema kwa wateja wetu, mradi wa kibaha ambao upo karibu na hospital ya lulanzi tayari umeshapimwa na pia upo kilomita 2 tu kutoka barabarani.
Huduma zote za kijamii zinapatikana hapa.
Mradi huu unauzwa 20,000/- kwa SQM. 
Watu wameenaza kuuchangamkia huu mradi kwa kununua viwanja vyao, Bado hujachelewa kujipatia kiwanja katika eneo hili.
Tembelea ofisi zetu zilizopo;
Tegeta Kibaoni (Nyuki House Floor 3)
Mlimani city (Office Park Block 4, Floor 1)
Kwa mawasiliano tupigie;
0679620634
0769321126
#viwanjagoba
#viwanjamadale
#viwanjadar 
#viwanjavilivyopimwa 
#viwanjakigamboni 
#viwanjakibaha 
#viwanja




















