Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani


Changamkien furs wapendw viwanja vyetu ni vizuri vipo sehemu tambarare vinavutia kam mnavoon 
Viwanja ivo vipo kibaha kwa Mathias
Ni kilomita 5 kutoka barabar kubwa hadi site
Tunauza  square meter 1 kwa shiling 12000 ,tunapima kuanzia square meter 300 
Unawez ukalipa kwa awamu au keshi
Huduma zote za kijamii zipo (umeme, zahanati, shule,Maji ya dawasa na barabara zimechongwa) 
Karibun saaan
Whatsapp 0757543637




















