Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
Viwanja Vilivyopimwa Vinauzwa Kibaha Misugusugu, Meter 400 Toka Main Road. Viwanja vipo karibu na Kiwanda cha Saruji( LULU CEMENT)
Viwanja tayari vina usajili Toka Wizara ya Ardhi( Approved)
Huduma zote muhimu ambazo Binadamu anaweza kuzihitaji zipo kama maji na umeme.
Bei zetu ni shilingi 8500/= Kwa Kila mita Moja za Mraba( 1m²) sawa na shilingi 3,400,000/= Kwa Kiwanja chenye 400m²
Utaratibu wa Malipo
1,000,000/= Kianzio
200,000/= kila Mwezi Hadi unakamilisha malipo
Ndio ni kutoka Pamland realestate co.ltd! Kamilisha NDOTO zako pamoja NASI.
Mawasiliano
0755437668