Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani


Viwanja Vilivyopimwa Vinauzwa KIBAHA Madafu, km4 Toka Morogoro Road! Ni Tambarare,pamefanyiwa usafi,majirani wakutosha! Yani site imenyooka sana! Tunaitoa Kwa bei nzuri,bei ya ofa yaani shilingi 8500/= Kwa square meter.
Malipo ya Awali: 1,000,000/=
Kiasi kilichobaki utalipia taratibu ndani ya Mwaka Mmoja.
Kwa mawasiliano Zaidi
0659 972 868
0763 172 814