Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
Kesho jumamosi tunaenda site kibaha soga. Tupigie vijana_realestate kwa namba 0789-100 100 au 0675-200 300.
—
Tunauza viwanja. Hati miliki unapata bure kabisa na tunafuatilia sisi vijana_realestate
—
Bei za viwanja ni tsh 1,800,000/= (milioni moja na laki nane tu)
Unailipa kidogo kidogo yaani laki na nusu (tsh 150,000/=) kila mwezi kwa miezi 12.
—
Ukiweza full payment unapunguziwa bei mpaka tsh 1,500,000/=
—
Viwanja Vipo KIBAHA SOGA Kilometa 2 pekee toka stesheni ya reli ya mwendokasi
—
Ukubwa: Vinaanzia SQM 400 mpaka 800 na vyote bei ni moja.
—-
Tupigie simu 0789-100 100 au 0675-200 300
vijana_realestate ofisi zetu zipo tegeta azania CHIEF HOUSE ghorofs ya kwanza.