Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
PLOT FOR SALE KIBAHA PANGANI
Kwa wale wateja wetu waliokosa mradi wa kibaha pangani sasa tumewaleta kiwanja kimoja chenye ukubwa wa sqm 1400
kiwanja kipo nyuma ya ofisi za NIDA Kibaha, umbali ni 3km kutoka barabara kuu
Bei sqm 1= 20,000 Tshs, wahi mapema hii sio ya kukosa , wekeza na lapexproperties
#lapexproperties #viwanja #ardhi #mashamba #hatimiliki