Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
Kibaha kwa Mathias mradi umepimwa na upo sehemu nzuri sana. Huduma zote za kijamii zipo .
Sqm 1@ 6,000 malipo ya cash tu
Vimebaki Viwanja vitatu tu venye ukubwa wa
Sqm 651
Sqm 361
Sqm 411
Sqm 772
Piga simu mapema upelekwe
☎️0753108723 call
0788916907 text WhatsApp
Tunapatikana makumbusho kijitonyama jengo MILLENIUM Tower II Floor19