Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
📢MRADI WA VIWANJA KIBAHA MJINI
🔲Mradi upo kibaha maili moja (mwanalugali)
🔲Umbali wa km 1.5 kutoka barabara ya lami
🔲Eneo liko jirani na makazi ya watu
🔲Ukubwa ni kuanzia sqm 534 na kuendelea
🔲Huduma za kijamii kama maji na umeme zinapatikana
🔲Bei ni tsh 15,000 kwa sqm moja
🔲Kutembelea site ni kila siku na ni bure
📢Namba za mawasiliano ni:- ☎️ 0654368175