Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani


VIWANJA! VIWANJA! VIWANJA!
Ndugu zanguni, ninawateeni viwanja vizuri Sana!
Eneo: Kibaha kwa mfipa, umbali kilometers 4 kutoka Barabara kuu ya Morogoro Road, kilometers mbili lami.
Huduma: Umeme, maji, majirani, Shule, Zahanati vipo Karibu kweli kweli.
Ukubwa: 20M kwa 20M, pia Kuna ukubwa tofauti tofauti.
Bei: 4,500,000 Tsh mpaka 6,500,000 Tsh.
Mawasiliano: 0762 180 122
Karibuni Sana!