Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani


*Mradi Mpya wa Viwanja - Kibaha Sofu!*
Viwanja vya bei nafuu vilivyo kwenye eneo zuri na tambarare kabisa, tayari kwa ujenzi!
Mahali: Kibaha Sofu – km 4 tu kutoka kituo cha Picha ya Ndege
📏 Ukubwa wa Viwanja: Kuanzia sqm 400 hadi sqm 1500
💰 Bei: TSh 15,000 tu kwa kila sqm!
✅ Viwanja vipo karibu sana na:
Shule ya Kibaha Sofu Centre
Shule mpya ya msingi na sekondari
Hospitali na huduma za afya
Huduma zote muhimu: maji, umeme, barabara
Makazi ya watu tayari yapo
🏗️ Ardhi ni tambarare, imara na inayofaa moja kwa moja kwa ujenzi.
📅 Unapanga kutembelea lini?
Tuwasiliane mapema tupange ratiba.
📍 Ofisi zetu zipo: Sinza Palestina
📞 Piga simu au WhatsApp: 0742 921 195