Viwanja vinauzwa Kibamba, Dar Es Salaam


PATA VIWANJA BORA VYA MAKAZI KIBAMBA GOGONI
β
Viwanja vipo km1.7 kutoka barabara kuu ya morogoro,
β
Vipo kuanzia ukubwa wa mita 20kwa20 (sqm400) hadi mita20kwa30 (sqm600).
β
Bei kwa SQM1 ni 35,000 malipo ya CASH na 40,000 kwa malipo ya awamu.
β
Miundombinu ya umeme maji na barabara ipo.
MIRADI YETU MINGINE
πKIBAHA MILE MOJA
πKIBAHA KWA MFIPA
πGOBA
πMADALE
πKISARAWEII
πMWEMBE MDOGO
πCHEKA
πMWASONGA
π Wasiliana nasi kwa namba 0753311817 au WhatsApp namba 0621364769
#GreenlandRealestate
#TheFutureIsHere