Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,300,000
Project
Yes

BEI NI MILION MOJA NA LAKI TATU TU (1,300,000/=) Unamiliki Kiwanja chako DAR ES SALAAM, wilaya KIGAMBONI Kata ya KIMBIJI, Mtaa wa Kwa Moris. 0711677199/0744847199.

๐Ÿค”Kwanini ununue viwanja maporini Kwa bei kubwa wakati kwetu KIGAMBONI ndani ya Mkoa wa DAR ES SALAAM utapata Kwa bei ya Milion 1.3 Tu. Sehemu ambayo ina Umeme tayari, Majirani wenye nyumba za kisasa, Maji ya DAWASA.

โžก๏ธ Viwanja ni vizuri sana, ni Viko Tambarale, na tayari Kuna majirani wa kutosha na sio mbali na barabara ya Mji Mwema-Buyuni.

โžก๏ธ UMEME umepita mbele ya mradi, Maji yapo, Eneo lipo karibu na huduma za kijamii mfano Shule , hospital, n.k

๐Ÿ‘‰ Umbali ni Km 35 kutoka kigamboni ferry mpaka Site na Mita 500 kutoka Barabara kubwa ya Kimbiji-Ferry, na Km 1.5 toka BAHARINI.
____________________________
๐Ÿ‘‰ BEI YAKE SASA NI =Tsh 1,300,000 TU. Kwa kiwanja chenye ukubwa wa Futi 50 X 40. Unaweza kuunganisha viwanja zaidi ya Viwili, vinne, sita, nane na kuendelea Kulingana na mahitaji Yako.
____________________________

USAFIRI WA KUTOKA FERRY HADI KIMBIJI KWA MORIS ni gari moja tu. Ukipanda gari za Buyuni unashukia Kwa Moris, kutoka hapo unaweza tembea au pikipiki 1000 maana sio mbali na barabara. Tunaonyesha viwanja Kila siku, piga simu Kwa maelezo ZAIDI 0711677199/0744847199.

๐ŸคKARIBUNI SANA KIGAMBONI.

Khadja Pesambili | @pesambili properties limited
khadja_viwanja
Khadja Pesambili | @pesambili properties limited

Similar items by location

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000,000

#kigamboni #house for sale vyumba 13Sqm:600Bei=300m. Mita=100 rami. โ˜Ž๏ธ0686 705 903 dalali_kigamboni...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 20,000

๐Ÿ“ Viwanja Vinauzwa kigamboni geza block 15๐Ÿ“Umbal wa kilometer 12 kutoka fer yaan kivukoni ๐Ÿ“Napia ...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 130,000,000

PLOT FOR SALE LOCATION KIGAMBONI KIBADA BLOCK 18DAR ES SALAAM TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ASKING PRICE MIL 130 SIZ...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 700,000,000

#NYUMBA ๐Ÿ  I N A U Z W A LOCATION KIGAMBONI KISOTA. #UKALI__Bado__mpyaa. NYUMBA NZURI SANA YA KISASA...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 7,650,000

Ruby city (Bohari Kigamboni)- Mita 200 kutoka barabara kuu - Bei kwa sqm 20,000/= miezi 18 (17,000/=...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)โ– location; Kigamboni, DARAJANI ใ€‹Nyumba ina VYUMBA VITATU KI...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 130,000,000

HOUSE FOR SALE LOCATION KIGAMBONI KIBADA FULL SHANGWE DAR ES SALAAM TZ BEI MILIONI 130 NEGOTIABLE KI...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 65,000,000

#viwanja #kigamboni plot for sale Sqm:600=Hati ya wizara. Bei=65m. โ˜Ž๏ธ0686 705 903 dalali_kigamboni...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA __VYUMBA V3 VYAKULALA KIMOJA MASTER SITING DINING JIKO PUBLIC TOIL...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 67,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA KIBUGUMO __INA VYUMBA V 5 VYAKULALA VYOTE MASTER SITING DINING JIK...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)โ– location; Kigamboni, KIBADA ใ€‹Nyumba ina CHUMBA KIMOJA MASTER...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT ZINAPANGISHWA MPYA ZIPO 4 TU JUU NACHINI SIFA ZAKE CHUMBA MASTER BEDROOM SITING ROOM NAJI...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)โ– location; Kigamboni, DARAJANI ใ€‹Nyumba ina VYUMBA VIWILI KIMOJ...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)โ– location; Kigamboni, KIBADA ใ€‹Nyumba ina CHUMBA KIMOJA MASTER...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)โ– location; Kigamboni, DARAJANI ใ€‹Nyumba ina VYUMBA VIWILI KI...

Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

*One storey Beach House for sale at Kigamboni, Magogoni*-It has six bedrooms all en-suite, sitting r...

Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

*One storey Beach House for sale at Kigamboni, Magogoni*-It has six bedrooms all en-suite, sitting r...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 17,000 per day

MRADI MPYA WA KIGAMBONI VUMILIA UKOONI -MWEMBEMDOGO 0767053517๐Ÿ‘‰๐ŸฝViwanja vimepimwa na vina bacon zi...

Sh. 50,000

MRADI MPYA - KIGAMBONI RAS BAMBA ECO LODGE (BEACH PLOTS)๐Ÿ“ž๐Ÿ“ž0767053517 โ—ป๏ธUmbali ni km 17 toka ferryโ—ป...